Msimamo wa Kundi E – Kufuzu Kombe la Dunia 2026

Msimamo wa kundi e kufuzu kombe la dunia 2026, FIFA World Cup African qualifiers Mashindano ya kufuzu Kombe la Dunia 2026 barani Afrika yanaendelea kushika kasi, na katika Kundi E, mashabiki wanashuhudia pambano kali kati ya mataifa yanayowania nafasi ya kufuzu.

Morocco inaongoza kwa kiwango cha juu, huku Tanzania ikijaribu kufuata nyayo na Zambia, Niger, Congo na Eritrea zikihangaika kupata nafasi.

Kundi E