Matokeo Yanga Vs Silver Striker Leo Oktoba 25, 2025

Hapa ni Mchanganuo wa Live Matokeo Yanga Vs Silver Striker Leo Oktoba 25, 2025 Live stream kutoka kwa mkapa.  LEO, Wananchi Yanga SC watakuwa dimba la Benjamin Mkapa wakiwakaribisha Silver Striker kutoka Malawi, mechi ya marudiano Ligi ya Mabingwa Afrika.

Mechi hii itapigwa kuanzia saa 11:00 jioni na kuruka mbashara kupitia AzamSports3HD.

Wananchi wanaingia katika mchezo huu wakisaka ushindi wa zaidi ya goli moja ili kutinga hatua ya makundi ya michuano hii.

Matokeo Yanga Vs Silver Striker Leo

Live Matokeo Yanga Vs Silver Striker

Tazama Hapa Young Africans Sport Club vs Silver Strikers live score,

#CAFCL #YangaSC #Azamtvsport

Makala Nyingine;

Kikosi Cha Yanga Vs Silver Strikers Leo Oktoba 25, 2025

Ratiba ya Mechi za Yanga Ligi Kuu NBC 2025/2026

Jezi mpya za yanga 25 26 (Nyumbani Na Ugenini) Picha za Jezi

Tetesi Za Usajili Yanga 2025/2026 Leo