Matokeo ya usaili TRA 2025 Majina ya Walioitwa Kazini

Matokeo ya usaili TRA 2025 Majina ya Walioitwa Kazini, Majina Ya waliochaguliwa na Wote walioshinda Usaili wa kuandika na Oral (TRA call For work) Www TRA go tz, Written na Oral kwenye PDF Yote Orodha kamili ya majina Waliochaguliwa kwenda kazini TRA 2025/26. Www TRA recruitment portal go tz.

Matokeo ya usaili TRA 2025 Majina Yote

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imetangaza kuwa matokeo ya usaili wa maandishi uliofanyika Machi 29 na 30, 2025 yatatangazwa Aprili 25, 2025. Matokeo haya yatapatikana baada ya kukaguliwa na mshauri elekezi ifikapo Aprili 23, 2025.

Mkurugenzi wa Usimamizi wa Rasilimali Watu na Utawala, Bw. Moshi Kabengwe, ameeleza kuwa baada ya kutangazwa kwa matokeo, usaili wa vitendo na mahojiano utafuata. Usaili wa vitendo kwa kada ya madereva na waandishi waendesha ofisi utafanyika kuanzia Mei 2 hadi 4, 2025, huku usaili wa mahojiano kwa kada nyingine ukifanyika Mei 7 hadi 9, 2025.

Watahiniwa watakaofaulu watajulishwa rasmi Mei 18, 2025, na mafunzo elekezi yataanza Mei 22 hadi Juni 2, 2025 kabla ya kuanza ajira zao rasmi.

Takwimu za Usaili wa TRA 2025

Kipengele Idadi
Maombi yaliyokidhi vigezo 112,952
Maombi yaliyoongezwa baada ya rufaa 71
Jumla ya maombi 113,023
Idadi ya waombaji 86,314
Waliopata nafasi ya kufanya usaili 78,544 (91%)
Waliokosa kuhudhuria usaili 7,770 (9%)

Jinsi ya Kuangalia Matokeo ya Usaili TRA 2025

Watahiniwa wanapaswa kufuata hatua hizi ili kupata matokeo yao:

  1. Tembelea tovuti rasmi ya TRA: www.tra.go.tz
  2. Nenda kwenye sehemu ya “Matangazo” au “Ajira”
  3. Pakua orodha ya waliofaulu na uangalie jina lako

Mambo ya Muhimu

  • Hakikisha umetembelea tovuti rasmi ya TRA ili kuepuka taarifa za upotoshaji.
  • Matokeo yatakuwa katika muundo wa PDF kwa urahisi wa upakuaji.
  • Waliopata nafasi wataalikwa kushiriki katika hatua zinazofuata za uteuzi.

Kwa maelezo zaidi, tafadhali tembelea tovuti rasmi ya TRA kupitia kiungo hiki: https://recruitment.tra.go.tz/tra_careers/Login.aspx

Makala Nyingine:

  1. Walioitwa kwenye Usaili wa Mchujo TRA 2025 Majina Yametangazwa
  2. Majina ya walioitwa kwenye usaili TRA 2025 (Call For interview)
  3. Maswali ya Usaili TRA Interview Questions 2025 PDF
  4. Vituo vya Usaili TRA 2025 Vitakavyotumika Mikoa Yote
  5. Mfumo Wa Ajira TRA (recruitment.tra.go.tz) recruitment Portal 2025
  6. Viwango vya Mishahara TRA