Matokeo, Kikosi cha Taifa Stars VS Morocco Leo Machi 26, 2025

Hapa ni Matokeo, Kikosi cha Taifa Stars VS Morocco Leo Machi 26, 2025, Mechi Ya Tanzania Vs Morocco Ni lini na Saa Ngapi? Taifa Stars (Tanzania) VS Morocco  Live Stream Results. Matokeo ya Mechi Ya Leo dhidi ya Morocco vs Tanzania Kundi E kufuzu kombe la Dunia.

Tanzania (Taifa Stars) Vs Morocco Leo

Taifa Stars ikiwa tayari imeshawasili nchini Morocco Jumatano hii itakuwa dimbani kukipiga na Morocco mechi ya Kundi E kufuzu Kombe la Dunia 2026.

Katika msimamo wa Kundi E, Morocco anaongoza akiwa na alama 12, Niger akiwa nafasi ya pili na alama 6 sawa na Tanzania wenye alama 6 katika nafasi ya tatu.

Mechi hii itachezwa kuanzia saa 6:30 usiku kuamkia Jumatano na kuruka mbashara kupitia AzamSports1HD.

#TaifaStars #Morocco #WorldCup2026

Kikosi cha Tanzania (Taifa Stars) Vs Morocco

Wachezaji Walioitwa:

  1. Novatus Miroshi (Göztepe FC, Uturuki)
  2. Mudathir Yahya (Young Africans)
  3. Yusuph Kagoma (Simba SC)
  4. Feisal Salum (Azam FC)
  5. Charles M’Mombwa (Newcastle United Jets, Australia)
  6. Kibu Denis (Simba SC)
  7. Simon Msuva (Al-Talaba SC, Iraq)
  8. Clement Mzize (Young Africans)
  9. Iddy Selemani (Azam FC)
  10. Selemani Mwalimu (Wydad Casablanca, Morocco)
  11. Kelvin John (Aalborg BK, Denmark)
  12. Yakoub Suleiman (JKT Tanzania)
  13. Ally Salim (Simba SC)
  14. Hussein Masaranga (Singida BS)
  15. Shomari Kapombe (Simba SC)
  16. Lusajo Mwaikenda (Azam FC)
  17. Mohamed Hussein (Simba SC)
  18. Pascal Msindo (Azam FC)
  19. Mirajy Abdallah (Coastal Union)
  20. Ibrahim Abdulla (Young Africans)
  21. Dickson Job (Young Africans)
  22. Abdulrazack Mohamed (Simba SC)
  23. Ibrahim Ame (Mashujaa FC)
  24. Haji Mnoga (Salford City, Uingereza)

Timu ya taifa ya soka ya Tanzania ( Swahili : Timu ya Taifa ya Mpira wa Miguu ya Tanzania ) inawakilisha Tanzania katika soka la kimataifa la wanaume na inadhibitiwa na Shirikisho la Soka Tanzania , shirikisho la soka nchini Tanzania , uwanja wa nyumbani wa Tanzania ni Benjamin Mkapa Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam na kocha wao mkuu ni Adel Amrouche kutoka Algeria. Wanajulikana kama Taifa Stars . Tanzania haijawahi kufuzu kwa Kombe la Dunia la FIFA .

Kabla ya kuungana na Zanzibar, timu hiyo ilicheza kama timu ya taifa ya soka ya Tanganyika , timu hiyo inawakilisha FIFA na Shirikisho la Soka Afrika (CAF).

Kisiwa cha Zanzibar , ambacho ni sehemu ya Tanzania (na kilichowahi kuwa taifa huru), pia ni mwanachama mshiriki wa CAF na kimecheza mechi na mataifa mengine, lakini hakijastahili kushiriki Kombe la Dunia au Kombe la Mataifa ya Afrika . Tazama timu ya taifa ya soka ya Zanzibar .

Kinachoendele Morocco

Kikosi cha Timu ya Taifa @taifastars_ kimefanya mazoezi kwenye uwanja wa Mkwakwani, Tanga kujiandaa na mchezo wa Kufuzu Kombe la Dunia 2026 dhidi ya Morocco utakaochezwa Machi 25, 2025 Oujda, Morocco

Matokeo Ya Tanzania (Taifa Stars) Vs Morocco

Mapendekezo:

  1. Makundi ya AFCON 2025 Morocco Kundi La Taifa Stars
  2. Kundi la taifa stars afcon 2025
  3. Makundi Ya CHAN 2025 (Kundi B La Taifa Stars Tanzania)
  4. Kikosi cha Taifa Stars VS DR Congo Michezo Miwili ya Kufuzu AFCON 2025
  5. Kikosi Cha Kilimanjaro Stars Mapinduzi CUP 2025