Majina ya waliopata mkopo 2025/2026 awamu ya pili HESLB

Majina ya waliopata mkopo 2025/2026 awamu ya pili HESLB, Tutaangalia Taarifa ya bodi ya mikopo kuhusu awamu ya pili ya wanafunzi waliochaguliwa kupewa mkopo.

HESLB Yatangaza Orodha ya Pili ya Wanufaika wa Mikopo kwa Mwaka wa Masomo 2025/2026

HESLB inawashauri waombaji wa mikopo na ruzuku kuendelea kufuatilia taarifa za maombi yao kupitia tovuti ya HESLB (www.heslb.go.tz) na kwenye kurasa za mitandao ya kijamii ya HESLB Tanzania.

OLAMS – Online Loan Application & Management System

Imetolewa na:

Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB)

Makala nyingine: