Majina ya Walioitwa Mafunzo ya Ufundi na Stadi 2025 Fani Mbalimbali, Majina ya walioitwa mafunzo ya ufundi na stadi 2025 PDF download, Majina ya Waliochaguliwa mafunzo ya ufundi stadi VETA. MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA MWAKA 2025/2026.pdf
Serikali kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu imetangaza kuwa vijana 8,000 wamechaguliwa kujiunga na mafunzo ya stadi za kazi kupitia mfumo wa uanagenzi katika vyuo 52 Nchini ambapo gharama zote za masomo zitalipwa kwa asilimia 100 huku mafunzo hayo yakilenga kuwawezesha Vijana kupata ujuzi unaohitajika kwenye soko la ajira.
Kwa mujibu wa Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Vijana hao ni kati ya waliotuma maombi yao Januari na Februari 2025 ambapo wameelekezwa kujisajili kuanzia Machi 3, 2025 huku mafunzo yakitolewa kwa mfumo wa kutwa, majina ya waliochaguliwa yamebandikwa katika Vyuo vya ufundi stadi vilivyoidhinishwa au yanapatikana kupitia tovuti ya www.kazi.go.tz
Tangazo kuitwa kuanza Mafunzo ya Ufundi na Stadi za Kazi katika fani mbalimbali kwa njia ya Uanagenzi
Makala Nyingine:
Leave a Reply