Elimu

Majina ya Waliochaguliwa Kujiunga na JKT 2025/2026 Form Six JKT Selection

Majina ya Waliochaguliwa Kujiunga na JKT 2025/2026 Form Six JKT Selection kidato cha sita 2025, www.jkt.go.tz 2025 News post za jkt 2025 Majina ya Vijana Walioteuliwa Kujiunga na Mafunzo ya JKT Kundi la Lazima (Mujibu wa Sheria) Mwaka 2025 na PDF download. Jinsi ya Kuangalia Majina ya form six Waliochaguliwa JKT 2025 (Mujibu wa sheria)

Form Six JKT Selection 2025 – Majina ya Waliochaguliwa Kujiunga na JKT Tanzania

Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) limetoa rasmi orodha ya wanafunzi wa kidato cha sita mwaka 2025 walioteuliwa kujiunga na mafunzo ya lazima ya kijeshi kwa mujibu wa sheria.

JKT ni Nini?

JKT ni program ya kitaifa iliyoanzishwa mwaka 1963 kwa lengo la kujenga uzalendo, nidhamu, na kuwapa vijana ujuzi wa kazi na maisha ya kujitegemea. Kila mwaka, wahitimu wa kidato cha sita huchaguliwa kushiriki katika mafunzo haya kama sehemu ya mchango wao kwa maendeleo ya Taifa.

Nani Wamechaguliwa?

Kwa mwaka 2025, maelfu ya wahitimu kutoka shule mbalimbali nchini Tanzania wamechaguliwa. Wanafunzi hawa wanatarajiwa kuripoti katika kambi mbalimbali za JKT kama ilivyoainishwa kwenye tangazo rasmi.

SomaSifa za Kujiunga na JKT 2025 Vigezo vya Mafunzo ya Kujitolea

Jinsi ya Kuangalia Majina ya Waliochaguliwa JKT 2025

Fuata hatua zifuatazo kuangalia kama umechaguliwa kujiunga na JKT:

  1. Tembelea tovuti rasmi ya JKT:
    👉 https://www.jkt.go.tz

  2. Bofya kiunganishi cha “Orodha ya Waliochaguliwa Kujiunga na JKT 2025.”
  3. Pakua faili la PDF na tafuta jina lako au jina la shule yako.

Ikiwa kivinjari chako kimeshindwa kuonyesha faili ya PDF, bonyeza hapa chini kupakua moja kwa moja:

BONYEZA HAPA KUPAKUA ORODHA YA MAJINA – PDF

https://www.jkt.go.tz/current_ns_intakes

Taarifa Muhimu kwa Waliochaguliwa – JKT 2025/2026

Tarehe ya Kuripoti:
Wanafunzi wote waliochaguliwa wanapaswa kuripoti katika kambi walizopangiwa kwa tarehe iliyotajwa kwenye tangazo rasmi.

Vitu Muhimu vya Kuambatana Navyo:

  • Matokeo halisi ya kidato cha sita (ACSEE)
  • Kitambulisho cha Taifa (NIDA) au namba ya usajili
  • Cheti cha kuzaliwa
  • Vitu binafsi muhimu kama:
    • Nguo za michezo
    • Shuka na mto
    • Vifaa vya usafi binafsi (sabuni, mswaki, n.k.)

Angalizo:

Kushindwa kuripoti kwa wakati bila sababu ya msingi kunaweza kupelekea kuchukuliwa hatua za kisheria au kuondolewa kwenye fursa za serikali siku za usoni.

Mafunzo ya JKT ni fursa ya kipekee kwa vijana wa Kitanzania kujifunza stadi muhimu za maisha, kujenga uzalendo, na kujiandaa kwa maisha ya baadaye. Tunawapongeza wote waliopata nafasi hii na kuwatakia mafanikio mema katika mafunzo yao.

Tutaendelea kusasisha ukurasa huu mara tu orodha kamili ya majina itakapotolewa. Tafadhali weka alamisho (bookmark) na utembelee mara kwa mara.

jkt.go.tz 2025

Makala Nyingine:

1 Comment

Leave a Comment

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.