Ligi Bora Africa 2025 Ligi nne 4 Bora Zaidi Barani Afrika, Shirikisho la Kimataifa la Historia na Takwimu za Mpira wa Miguu (IFFHS) limeitangaza @ligikuu ya Tanzania (NBC Premier League) kuwa Ligi ya nne (4) kwa ubora barani Afrika na ya 57 duniani kwa mwaka 2024.
Je, Tanzania ipo namba ngapi kwenye msimamo wa ligi bora africa?
Ligi hiyo imepanda kwa nafasi mbili (2) kutoka nafasi ya sita (6) mwaka 2023 ikizipiku Ligi za Afrika Kusini na Tunisia 🔥.
Ligi nne 4 Bora Zaidi Barani Afrika 2025
#LigiKuu #LigiKuuToTheWorld #IFFHS #Top10
Makala Nyingine:
- Wafungaji Bora Ligi Kuu ya NBC Tanzania 2024/2025 Vinara Wa Magoli
- Msimamo wa EPL 2024/2025 Ligi kuu England
- Msimamo Ligi Kuu NBC 2024/2025 Tanzania Bara
- Vinara wa assist NBC 2024/25 Ligi Kuu Tanzania Bara
- Msimamo wa NBC Championship Tanzania 2024/2025 Ligi Daraja la kwanza
- Wafungaji Bora EPL 2024/2025 Ligi Kuu England
Leave a Reply