Kuitwa Kwenye Usaili Halmashauri Ya Wilaya Tunduru Juni, 2025

Filed in Ajira by on June 15, 2025 0 Comments

TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI – HALMASHAURI YA WILAYA YA MOROGORO
Tarehe: 13 Juni 2025
Kumb. Na. FA.87/199/01/17

Maelekezo kwa Wasailiwa:

  1. Wasailiwa waingie kwenye akaunti zao (https://portal.ajira.go.tz) ili kuona majina yao, muda na mahali pa usaili.

  2. Walete kitambulisho halali (uraia, kazi, mpiga kura, pasipoti).

  3. Waje na vyeti halisi vya taaluma (cheti cha kuzaliwa, kidato cha IV na VI, stashahada/shahada n.k).

  4. Testimonials, Provisional Results, Statement of Results, na slips za matokeo hazitakubalika.

  5. Waliosoma nje ya nchi wahakikishe vyeti vyao vimeidhinishwa na NECTA/TCU/NACTE.

  6. Kada zinazohitaji usajili – walete vyeti na leseni halisi za kitaaluma.

  7. Gharama zote za usafiri, chakula na malazi ni kwa msailiwa mwenyewe.

  8. Namba ya mtihani ipatikane kupitia akaunti ya ajira mapema kabla ya siku ya usaili.

  9. Wasioona majina yao wajue hawakukidhi vigezo.

Ratiba ya Usaili kwa Kada ya Dereva Daraja la II

Aina ya Usaili Tarehe Saa Mahali
Usaili wa Mchujo 19-06-2025 07:00 Asubuhi Ukumbi wa mikutano, Ofisi ya Mkurugenzi, Morogoro
Usaili wa Vitendo 20-06-2025 07:00 Asubuhi Halmashauri ya Wilaya ya Morogoro
Usaili wa Mahojiano 21-06-2025 07:00 Asubuhi Ukumbi wa mikutano, Ofisi ya Mkurugenzi

Orodha ya Wasailiwa:

Waombaji waliotajwa majina yao ni pamoja na:

  • ABDALLA BAKARI ABDALLA – P.O Box 56, Mkuranga

  • ABDALLAH KANGALI – P.O Box 66, Korogwe

  • ABDUL SAID HASSAN – P.O Box 129, Tabora

  • …na wengine zaidi ya 150.

Imetolewa na:

Mkurugenzi Mtendaji
Halmashauri ya Wilaya ya Morogoro
Kwa ushirikiano na
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

call_for_interview_advert (9). pdf KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA TUNDURU

Makala Nyingine:

Tags:

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.