Kuitwa Kwenye Usaili Halmashauri Ya Mji Mbinga Juni, 2025
TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA MJI MBINGA 14-06-2025, Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Mbinga, anapenda kuwataarifu waombaji kazi walioomba nafasi za Udereva, Mtunza Kumbukumbu Msaidizi, na Afisa Maendeleo ya Jamii Msaidizi kuwa usaili utafanyika kuanzia tarehe 19 Juni 2025 hadi 23 Juni 2025.
TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI – HALMASHAURI YA MJI MBINGA
Tarehe: 12 Juni 2025
Kumb. Na. FA.87/97/01/99
Maelekezo kwa Wasailiwa:
-
Usaili utafanyika kwa mujibu wa tarehe na mahali ulipangwa katika Mfumo wa Ajira (Ajira Portal).
-
Wasailiwa wote walete kitambulisho halali miongoni mwa haya:
-
Kitambulisho cha Uraia (NIDA)
-
Kitambulisho cha kazi
-
Kitambulisho cha mpiga kura
-
Pasipoti
-
-
Waje na vyeti halisi: cheti cha kuzaliwa, kidato cha IV na VI, stashahada au shahada husika.
-
Testimonials, Provisional Results, Statement of Results na slips za kidato cha IV/VI hazikubaliki.
-
Waombaji wa nafasi ya Udereva waje na vyeti vya udereva na leseni daraja sahihi.
-
Wasailiwa wa Udereva wenye leseni daraja E au C waje na vyeti vya mafunzo ya madaraja hayo.
-
Gharama za chakula, usafiri na malazi ni kwa msailiwa mwenyewe.
-
Vyeti kutoka nje ya nchi lazima viwe vimehakikiwa na NECTA, TCU au NACTE.
-
Wasioona majina yao watambue hawakukidhi vigezo vya usaili huu.
-
Namba ya mtihani ipatikane kwa kuingia kwenye akaunti ya ajira.
-
Hali ya hewa ya Mbinga ni baridi – vaa nguo zinazostahili.
Ratiba ya Usaili:
Usaili wa Mchujo:
Kada | Tarehe | Saa | Mahali |
---|---|---|---|
Dereva Daraja II | 19-06-2025 | 07:30 Asubuhi | Ukumbi wa ODDO Mwisho, Ofisi ya Halmashauri |
Msaidizi wa Kumbukumbu II | 22-06-2025 | 07:30 Asubuhi | Ukumbi wa ODDO Mwisho |
Msaidizi Maendeleo ya Jamii II | 22-06-2025 | 07:30 Asubuhi | Ukumbi wa ODDO Mwisho |
Usaili wa Vitendo (Dereva Daraja II tu):
Kada | Tarehe | Saa | Mahali |
---|---|---|---|
Dereva Daraja II | 20-06-2025 | 07:30 Asubuhi | Ofisi za Halmashauri ya Mji Mbinga |
Usaili wa Mahojiano:
Kada | Tarehe | Saa | Mahali |
---|---|---|---|
Dereva Daraja II | 21-06-2025 | 07:30 Asubuhi | Ukumbi wa ODDO Mwisho |
Msaidizi wa Kumbukumbu II | 23-06-2025 | 07:30 Asubuhi | Ukumbi wa ODDO Mwisho |
Msaidizi Maendeleo ya Jamii II | 23-06-2025 | 07:30 Asubuhi | Ukumbi wa ODDO Mwisho |
Kwa majina ya walioitwa kwenye kila kada, waombaji wanashauriwa kupitia orodha kamili iliyotolewa pamoja na tangazo hili.
Imetolewa na:
Mkurugenzi wa Mji
Halmashauri ya Mji Mbinga
KUITWA USAILI 03.pdf HALMASHAURI YA MJI MBINGA 14-06-2025
Makala Nyingine:
- Kuitwa Kwenye Usaili Halmashauri Ya Wilaya Ya Wanging’ombe Juni, 2025
- Kuitwa Kwenye Usaili Halmashauri Ya Wilaya Ya Makete Juni, 2025
- Nafasi Za Kazi Halmashauri Mbalimbali 2025/2026 Ajira Mpya
- Nafasi Za Kazi Halmashauri Ya Jiji La Mwanza Juni, 2025
- Nafasi Za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze June, 2025
Tags: Halmashauri