Kuitwa Kazini Hospitali Ya Taifa Muhimbili Juni, 2025
TANGAZO LA KUITWA KAZINI HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI 13-06-2025, Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anawataarifu waombaji kazi waliofanya usaili kati ya 06 Mei 2025 hadi 07 Mei 2025 kuwa majina ya waliofaulu usaili yameorodheshwa katika tangazo hili.
Aidha, baadhi ya waliokuwa kwenye kanzidata (database) pia wamepangiwa vituo vya kazi baada ya nafasi kupatikana.
TANGAZO LA KUITWA KAZINI – UTUMISHI WA UMMA
Tarehe: 13 Juni 2025
Kumb. Na: JA.9/18/01″C”/117
Maelekezo kwa Walioitwa Kazini:
-
Barua za kupangiwa vituo vya kazi zinapatikana kupitia akaunti ya Ajira Portal kwenye sehemu ya My Applications.
-
Waombaji waliopangiwa vituo vya kazi wanatakiwa kupakua (download) na kuchapisha (print) barua hizo.
-
Wataripoti kwa Mwajiri waliyeelekezwa wakiwa na vyeti halisi vya masomo kuanzia kidato cha nne na kuendelea.
-
Walioitwa kazini wanapaswa kuripoti ndani ya muda uliowekwa kwenye barua ya kupangiwa kituo.
-
Majina yasiyoonekana kwenye tangazo hili ni ya waliofaulu.
Majina ya Walioitwa Kazini:
Wizara ya Afya – Medical Officer II:
-
ABDALLAH HASSAN ABDALLAH
-
ABUU SHABANI KISUMUNI
-
ADAM PASTORY MONDEA
-
AGNES APOLINARY KIMARIO
-
ALFRED GAME PIUS
-
…na wengine zaidi ya 180
Nursing Officer II:
-
ABDULAZIZ ABDALLAH NASSORO
-
AISHATH BYELA ABDU
-
ASHA HASHIM MTWANGE
-
AVELINO RAPHAEL BURRA
-
CHARLES MOSSES OTIENO
-
…na wengine zaidi ya 30
PDF DOWNLOAD TANGAZO LA KUITWA KAZINI HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI 13-06-2025
Tangazo hili limetolewa na:
Katibu, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma.
Tangazo La Kuitwa Kazini Wizara Ya Afya Juni, 2025
Majina Ya Walioitwa Kazini Utumishi Na Ajira Portal 2025 Leo
Majina ya walioitwa kazini Afya 2025 TAMISEMI
TANGAZO LA KUITWA KAZINI Tarehe: 24 Aprili 2025 Taasisi Mbalimbali za Umma