Derby Ya Kariakoo: Simba VS Yanga Patachimbika, NBC Premier League Homa ya pambano la watani wa jadi inazidi kupanda ni Jumamsoi hii, Machi 08, 2025
Yanga SC watakuwa dimba la Benjamin Mkapa wakiwakaribisha Simba SC. Mchezo huu utapigwa kuanzia saa 1:15 usiku na kuruka mbashara kupitia AzamSports1HD.
Je, ni wananchi ama wekundu wa msimbazi nani kulala mapema?
Bado siku 2 kufika Machi 08 siku ambayo pambano la watani wa jadi litapigwa. Wananchi Yanga SC watakuwa dimba la Benjamin Mkapa wakiwakaribisha Simba SC
Makala Nyingine:
- Mechi ya Simba na Yanga Ni Lini 2025
- Ratiba ya Mechi za Simba Ligi Kuu Ya NBC 2024/2025 Tanzania
- Ratiba ya Simba Robo Fainali Shirikisho CAF 2025
- Ratiba ya Mechi za Yanga Ligi Kuu NBC 2024/2025
- Msimamo wa kundi A la Yanga CAF 2024/2025 Club Bingwa
- Tetesi za usajili Dirisha dogo Tanzania bara 2024/2025 (Simba Na Yanga)
- Kocha Mpya Wa Yanga 2024/2025
- Msimamo wa Ligi Kuu NBC 2024/2025 NBC Standing Table
Leave a Reply