Ajira

Kuitwa Kwenye Usaili Halmashauri Ya Manispaa Ya Songea Juni, 2025

Filed in Ajira by on June 15, 2025 0 Comments
Kuitwa Kwenye Usaili Halmashauri Ya Manispaa Ya Songea Juni, 2025

TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA MANISPAA YA SONGEA 13-06-2025,  Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Manispaa ya Songea anawatangazia waombaji wote waliotuma maombi ya ajira kuwa usaili utafanyika kuanzia tarehe 19 hadi 23 Juni 2025 kwa kada mbalimbali. Waliofaulu usaili huo watapangiwa vituo vya kazi. TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA MANISPAA YA […]

Continue Reading »

Kuitwa Kwenye Usaili Halmashauri Ya Wilaya Tunduru Juni, 2025

Filed in Ajira by on June 15, 2025 0 Comments
Kuitwa Kwenye Usaili Halmashauri Ya Wilaya Tunduru Juni, 2025

 TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA TUNDURU 13-06-2025,  Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Morogoro anapenda kuwataarifu waombaji kazi walioomba nafasi ya Dereva Daraja la II kuwa usaili utafanyika kuanzia 19 Juni 2025 hadi 21 Juni 2025. TANGAZO LA KUITWA […]

Continue Reading »

Kuitwa Kwenye Usaili Halmashauri Ya Manispaa Ya Musoma Juni, 2025

Filed in Ajira by on June 15, 2025 0 Comments
Kuitwa Kwenye Usaili Halmashauri Ya Manispaa Ya Musoma Juni, 2025

 TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA MANISPAA YA MUSOMA 14-06-2025, Mkurugenzi wa Manispaa ya Musoma anapenda kuwataarifu waombaji wote wa nafasi za kazi kuwa usaili utafanyika kuanzia tarehe 19 hadi 23 Juni 2025, na watakaofaulu watapangiwa vituo vya kazi. Wasailiwa wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo: TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI – HALMASHAURI YA MANISPAA YA MUSOMATarehe: […]

Continue Reading »

Kuitwa Kwenye Usaili Halmashauri Ya Mji Mbinga Juni, 2025

Filed in Ajira by on June 15, 2025 0 Comments
Kuitwa Kwenye Usaili Halmashauri Ya Mji Mbinga Juni, 2025

TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA MJI MBINGA 14-06-2025, Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Mbinga, anapenda kuwataarifu waombaji kazi walioomba nafasi za Udereva, Mtunza Kumbukumbu Msaidizi, na Afisa Maendeleo ya Jamii Msaidizi kuwa usaili utafanyika kuanzia tarehe 19 Juni 2025 hadi 23 […]

Continue Reading »

Kuitwa Kwenye Usaili Halmashauri Ya Wilaya Ya Wanging’ombe Juni, 2025

Filed in Ajira by on June 15, 2025 0 Comments
Kuitwa Kwenye Usaili Halmashauri Ya Wilaya Ya Wanging’ombe Juni, 2025

 TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA WANGING’OMBE 14-06-2025,  Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Wanging’ombe anapenda kuwataarifu waombaji kazi walioomba nafasi ya Mwandazi Daraja la II kuwa usaili wa mahojiano utafanyika tarehe 27 Juni 2025. Wasailiwa walioitwa wanatakiwa kuzingatia maelekezo yafuatayo: Maelekezo Muhimu kwa Wasailiwa: Usaili utafanyika tarehe 27-06-2025 kuanzia saa […]

Continue Reading »

Kuitwa Kwenye Usaili Halmashauri Ya Wilaya Ya Makete Juni, 2025

Filed in Ajira by on June 15, 2025 0 Comments
Kuitwa Kwenye Usaili Halmashauri Ya Wilaya Ya Makete Juni, 2025

TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA MAKETE 14-06-2025, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Makete anapenda kuwataarifu waombaji kazi wote walioomba ajira kuwa usaili utafanyika kuanzia tarehe 24 hadi 28 Juni 2025. Wasailiwa walioitwa wanapaswa kuzingatia yafuatayo: Maelekezo Muhimu kwa Wasailiwa: Muda na Mahali: Usaili utafanyika katika tarehe na mahali yaliyoainishwa […]

Continue Reading »

Matokeo Ya Usaili Wa Kuandika Uliofanyika Tarehe 14/06/2025

Filed in Ajira by on June 15, 2025 0 Comments
Matokeo Ya Usaili Wa Kuandika Uliofanyika Tarehe 14/06/2025

Matokeo Ya Usaili Wa Kuandika Uliofanyika Tarehe 14/06/2025, Wasailiwa wote waliochaguliwa wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la kufanyia usaili kama ilivyoelekezwa. WRITTEN INTERVIEW RESULTS Wasailiwa wote wanakumbushwa kufika na vyeti vyao halisi (Original Certificates) pamoja na kitambulisho. Usaili Wa Kuandika Uliofanyika Tarehe 14/06/2025 TUTOR II – PROCUREMENT MANAGEMENT TUTOR II – LAND SURVEYING_GEOMATICS REGISTRATION ASSISTANT […]

Continue Reading »

Nafasi Za Kazi Halmashauri Mbalimbali 2025/2026 Ajira Mpya

Filed in Ajira by on June 15, 2025 0 Comments
Nafasi Za Kazi Halmashauri Mbalimbali 2025/2026 Ajira Mpya

Nafasi Za Kazi Halmashauri Mbalimbali 2025/2026 Ajira Mpya, Ajira Za Halmashauri kwa mikoa na wilaya zote Tanzania kupitia Ajira Portal Ajira za watendaji halmashauri mbalimbali salary. Halmashauri mbalimbali za Manispaa na Wilaya nchini Tanzania zimetangaza rasmi nafasi mpya za ajira zenye lengo la kuimarisha utoaji wa huduma zao katika ngazi ya mitaa. Nafasi hizi zinatolewa kwa kujitegemea na halmashauri […]

Continue Reading »

NAFASI ZA KAZI – CHUO KIKUU CHA SAYANSI NA TEKNOLOJIA MBEYA (MUST) – JUNI 2025

Filed in Ajira by on June 14, 2025 0 Comments
NAFASI ZA KAZI – CHUO KIKUU CHA SAYANSI NA TEKNOLOJIA MBEYA (MUST) – JUNI 2025

Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (MUST) kinakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi mbalimbali za kazi kama ifuatavyo: 1. NAFASI ZA KAZI Nafasi za Msaidizi wa Mhadhiri (Tutorial Assistant) Quantity Surveying – Nafasi 1 Interior Design – Nafasi 2 Urban and Regional Planning – Nafasi 2 […]

Continue Reading »

Nafasi Za Kazi Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM) Juni, 2025

Filed in Ajira by on June 14, 2025 0 Comments
Nafasi Za Kazi Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM) Juni, 2025

Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kinapenda kuwataarifu Watanzania wote wenye sifa stahiki kuwa kinakaribisha maombi ya ajira kwa nafasi mbalimbali za kitaaluma kama ifuatavyo: 2. NAFASI ZA KAZI ZINAZOPATIKANA A. Tutorial Assistant (Msaidizi wa Mwalimu) – Nafasi mbalimbali Fasihi ya Kiingereza – Nafasi 1 Sanaa na Ubunifu (Fine Arts and Design) – Nafasi 1 Sayansi […]

Continue Reading »