Timu zilizofuzu 16 Bora AFCON 2025

Timu zilizofuzu 16 Bora AFCON 2025, Baada ya kukamilika kwa mechi zote za hatua ya makundi ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025, timu kadhaa zimethibitisha rasmi kufuzu hatua ya 16 bora.

Baadhi ya makundi tayari yamekamilika kabisa, huku mengine yakisubiri uthibitisho wa mpangilio wa mwisho kulingana na matokeo ya mwisho ya makundi.

Timu zilizofuzu 16 bora

Morocco

🇲🇱 Mali

🇪🇬 Egypt

🇿🇦 South Africa

🇳🇬 Nigeria

🇹🇳 Tunisia

🇹🇿 Tanzania

🇸🇳 Senegal

🇨🇩 Congo DR

🇧🇯 Benin

🇩🇿 Algeria

🇧🇫 Burkina Faso

🇸🇩 Sudan

🇨🇮 Ivory Coast

🇨🇲 Cameroon