Haya Hapa Makundi ya Kombe la Dunia 2026

Haya Hapa Makundi ya Kombe la Dunia 2026, Kombe la Dunia 2026 limepangwa kuwa michuano mikubwa zaidi katika historia ya FIFA, likijumuisha timu nyingi zaidi, mfumo mpya wa mashindano, na matarajio makubwa kutoka kwa mashabiki duniani kote. Kwa mara ya kwanza, mashindano haya yatachezwa katika nchi tatu mwenyeji: Marekani, Mexico na Canada — hatua inayoongeza upekee na mvuto wa michuano hii.

Kupangwa kwa makundi kumeleta taswira mpya ya ushindani wa kimataifa, ambapo mataifa makubwa na vinara wa soka duniani wanajipanga kuonyesha uwezo wao wa kiufundi, kimkakati na ubunifu. Hapa chini tumekuandalia orodha kamili ya makundi yote ya FIFA World Cup 2026 pamoja na wapinzani wao.

Orodha ya Makundi ya Kombe la Dunia 2026 – FIFA World Cup

GROUP A

Timu
Mexico
South Africa
Korea Republic
Winner Play-off (CZE, DEN, IRL, MKD)

GROUP B

Timu
Canada
Winner Play-off (BIH, ITA, NIR, WAL)
Qatar
Switzerland

GROUP C

Timu
Brazil
Morocco
Haiti
Scotland

GROUP D

Timu
USA
Paraguay
Australia
Winner Play-off (KDS, ROU, SVK, TUR)

GROUP E

Timu
Germany
Curaçao
Côte d’Ivoire (Ivory Coast)
Ecuador

GROUP F

Timu
Netherlands
Japan
Winner Play-off (ALB, POL, SWE, UKR)

GROUP G

Timu
Belgium
Egypt
IR Iran
New Zealand

GROUP H

Timu
Spain
Cape Verde
Saudi Arabia
Uruguay

GROUP I

Timu
France
Senegal
Winner Play-off (BOL, IRQ, SUR)
Norway

GROUP J

Timu
Argentina
Algeria
Australia
Jordan

GROUP K

Timu
Portugal
Winner Play-off (COD, JAM, NCL)
Uzbekistan
Colombia

GROUP L

Timu
England
Croatia
Ghana
Panama

Kupangwa rasmi kwa makundi ya Kombe la Dunia 2026 kumefungua ukurasa mpya wa matumaini na ushindani. Mataifa makubwa kama Brazil, Germany, Portugal, Argentina, Spain, France na England yamepangwa katika makundi yenye changamoto, huku mataifa yanayokuja juu kama Morocco, Senegal, Cape Verde, na Uzbekistan yakitarajiwa kutoa ushindani mkali.

Makala Nyingine: