Ratiba Ya Makundi AFCON 2025

Ratiba Ya Makundi AFCON 2025,  Mashindano ya AFCON 2025 yanatarajiwa kuanza rasmi tarehe 21 Desemba 2025 nchini Morocco, yakihusisha jumla ya timu 24 zitakazowania nafasi ya kutinga hatua ya mtoano.

Makundi yamepangwa kwa umahiri mkubwa ili kuleta ushindani wa juu, huku mataifa makubwa yakikutana mapema na kuifanya michuano hii kuwa ya kusisimua zaidi kushuhudiwa.

Mashabiki watarajie ratiba iliyojaa michezo mikali, muda sahihi wa kila mechi, na siku za kila pambano kulingana na taarifa rasmi za CAF.

AFCON 2025 – Ratiba ya Mechi Zote Hatua ya Makundi

Jumapili • 21 Desemba 2025

Mechi Saa
Morocco vs Comoros 4:00 Usiku

Jumatatu • 22 Desemba 2025

Mechi Saa
Mali vs Zambia 11:00 Jioni
Afrika Kusini vs Angola 2:00 Usiku
Misri vs Zimbabwe 5:00 Usiku

Jumanne • 23 Desemba 2025

Mechi Saa
Congo DR vs Benin 9:30 Alasiri
Senegal vs Botswana 12:00 Jioni
Nigeria vs Tanzania 2:30 Usiku
Tunisia vs Uganda 5:00 Usiku

Jumatano • 24 Desemba 2025

Mechi Saa
Burkina Faso vs Equatorial Guinea 9:30 Alasiri
Algeria vs Sudan 12:00 Jioni
Ivory Coast vs Msumbiji 2:30 Usiku
Cameroon vs Gabon 5:00 Usiku

Ijumaa • 26 Desemba 2025

Mechi Saa
Angola vs Zimbabwe 9:30 Alasiri
Misri vs Afrika Kusini 12:00 Jioni
Zambia vs Comoros 2:30 Usiku
Morocco vs Mali 5:00 Usiku

Jumamosi • 27 Desemba 2025

Mechi Saa
Benin vs Botswana 9:30 Alasiri
Senegal vs Congo DR 12:00 Jioni
Uganda vs Tanzania 2:30 Usiku
Nigeria vs Tunisia 5:00 Usiku

Jumapili • 28 Desemba 2025

Mechi Saa
Gabon vs Msumbiji 9:30 Alasiri
Equatorial Guinea vs Sudan 12:00 Jioni
Algeria vs Burkina Faso 2:30 Usiku
Ivory Coast vs Cameroon 5:00 Usiku

Ratiba hii ya AFCON 2025 inaonyesha wazi namna hatua ya makundi itakavyokuwa na ushindani mkali, hasa kutokana na mikutano ya mapema kati ya mataifa makubwa kama Nigeria, Morocco, Algeria, Ivory Coast, na Senegal.

Mashabiki wa soka barani Afrika na duniani kwa ujumla watarajie mechi kali kuanzia siku ya ufunguzi hadi mwisho wa hatua ya makundi.

Makala Nyingine: