Walioitwa kwenye Mafunzo jeshi la magereza 2025

Hapa ni Majina ya waliochaguliwa na Walioitwa kwenye Mafunzo jeshi la magereza 2025/2026 kwenye PDF,  WITO WA KUHUDHURIA MAFUNZO YA KUJIUNGA NA JESHI LA MAGEREZA TANZANIA.

Mkuu wa Jeshi la Magereza anawatangazia vijana walioorodheshwa hapa chini kuwa wamechaguliwa kuhudhuria Mafunzo ya Awali ya Jeshi la Magereza yatakayoendeshwa katika Chuo cha Magereza, kilichopo Kiwira, Wilaya ya
Rungwe, Mkoani Mbeya.

Vijana hawa wanatakiwa kuripoti Ofisi za Magereza za Mikoa walikofanyia usaili au Ofisi za Magereza za Mikoa ya jirani na mahali walipo kati ya tarehe 01 – 03 Desemba, 2025 ili kupata maelekezo ya mahitaji na utaratibu wa safari
ya kwenda chuoni.

Aidha, Vijana wote waliochaguliwa wanatakiwa kufika chuoni tarehe 05 Desemba, 2025 bila kukosa. Yeyote atakayechelewa kuripoti katika tarehe tajwa atakuwa amepoteza nafasi. Orodha ya majina ya vijana waliochaguliwa ni kama ifuatavyo:-

PDF Kamili ina Maelezo Yote

Walioitwa kwenye Mafunzo jeshi la magereza

https://www.prisons.go.tz/docs/1764493047.pdf

Makala Nyingine;