Ajira mpya za Walimu Oktoba, 2025

Nafasi za Kazi na Ajira mpya za Walimu Oktoba, 2025,  Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya and MDAs & LGAs anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi 10026 kama ilivyoainishwa katika tangazo hili;

Ajira mpya za Walimu MDAs & LGAs

PDF  Nafasi za Kazi na Ajira mpya za Walimu

Download PDF Final Call for Application – Advertisement 18th October 2025

Ajira Nyingine:

Viwango Vya Mishahara Ya Walimu 2025 (Madaraja Ya Mishahara)

Walimu Walioitwa Kazini 2025/2026 Kupitia Ajira Portal

Posho na Mishahara ya Walimu wa Kujitolea 2025 Vango kamili