Ajira Portal Login | Registration and Forgot Paswords (Mfumo Wa Ajira) Jinsi Ya Kujiunga Na Kujisajili Mfumo wa Ajira portal login password reset online https://portal.ajira.go.tz/auth/login.
Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma (PSRS) ni chombo cha serikali chenye hadhi ya Idara inayojitegemea iliyoanzishwa mahsusi kuwezesha mchakato wa kuajiri watumishi katika Utumishi wa Umma.
Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma ilianzishwa kwa Sheria ya Utumishi wa Umma namba 8 0f 2002 iliyorekebishwa na Sheria Na.
Ajira Portal Login | Registration
Registration 👉👉 https://portal.ajira.go.tz/auth/register
Ajira Hapa👉👉 https://portal.ajira.go.tz/vacancies
Jinsi Ya Kuingia👉👉 https://portal.ajira.go.tz/auth/login
Contacts Mawasiliano
President’s Office,
Public Service Recruitment Secretariat,
P.O. BOX 2320,
Dodoma.
+255 (26) 2963652
Public Service Recruitment Secretariat (PSRS) | All Rights Reserved (version 2.0)
Makala Nyingine:
Tuachie Maoni Yako