Kikosi Cha Simba Vs Gaborone United Leo, 20 Septemba 2025, Wachezaji watakao anza mchezo wa Simba dhidi ya Gaborone United Lineips Today Ligi ya Mabingwa Africa.
Kikosi cha Wachezaji 23 Kilichoenda Safari ya Botswana
Kocha mkuu Fadlu Davids ameandaa kikosi chenye uwiano wa nguvu katika kila eneo la uwanja. Jumla ya wachezaji 23 wamesafiri, wakijumuisha:
Makipa (3): Moussa Camara, Yakoub Suleiman na Alexander Erasto.
Mabeki (6): Shomari Kapombe, Anthony Mligo, Wilson Nangu, Rushine De Reuck, Chamou Karabou na Naby Camara.
Viungo (11): Yusuph Kagoma, Allasane Kante, Kibu Denis, Elie Mpanzu, Ladack Chasambi, Mzamiru Yassin, Neo Maema, Joshua Mutale, Charles Ahoua, Daud Semfuko na Morice Abraham.
Washambuliaji (3): Steven Mukwala, Selemani Mwalimu na Jonathan Sowah.
Makala Nyingine:
Mechi Ya Simba Vs Gaborone United Leo ni saa ngapi?
Matokeo Simba Vs Gaborone United SC Leo Septemba 20, 2025
Majina ya Wachezaji wapya wa Simba 2025/2026 Waliosajiliwa Msimu Huu
Tuachie Maoni Yako