MABADILIKO YA TAREHE YA USAILI WA MAHOJIANO MWALIMU DARAJA LA IIIC-SOMO LA UCHUMI.
Katibu Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma anawajulisha waombaji kazi wote walioitwa kwenye usaili wa mahojiano kada ya MWALIMU DARAJA LA IIIC-SOMO LA UCHUMI kuwa kuna mabadiliko ya tarehe ya usaili wa mahojiano.
Usaili huo utafanyika tarehe 13 Agosti,2025 badala ya tarehe 12 Agosti,2025 kama ilivyotajwa kwenye tangazo la awali. Aidha, muda na maelekezo mengine muhimu yatabaki kama yalivyotolewa kwenye tangazo la awali la kuitwa kwenye usaili.
Imetolewa na :
Kitengo cha Mawasiliano Serikalin
Tuachie Maoni Yako