Majina ya waliochaguliwa JWTZ 2025 Jeshi la Ulinzi la Wananchi, www.jwtz.go.tz 2025 News, Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) ni taasisi ya kijeshi inayowajibika na ulinzi wa mipaka ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pamoja na usalama wa taifa kwa ujumla.
Kila mwaka, JWTZ hufanya mchakato wa kuandikisha vijana waliomaliza elimu ya sekondari, vyuo na wale waliopitia mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) ili kujiunga rasmi na utumishi wa kijeshi.
Mwaka 2025, JWTZ kwa kushirikiana na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) wametoa tangazo la majina ya vijana waliopitishwa kujiunga na Jeshi hilo baada ya kufuzu taratibu na sifa stahiki.
Sifa za Kujiunga na JWTZ
Kwa mujibu wa maelezo rasmi ya JWTZ kupitia tovuti yao, mtu anayetaka kujiunga na jeshi anapaswa kuwa na:
- Raia wa Tanzania mwenye uzalendo na maadili mema.
- Umri kati ya miaka 18 hadi 26.
- Elimu ya angalau kidato cha nne (CSE) au zaidi.
- Afya njema kimwili na kiakili (upimaji hufanyika kabla ya kupokelewa).
- Kupitia mafunzo ya JKT (Jeshi la Kujenga Taifa) ni kigezo kinachopewa kipaumbele.
- Asiwe na rekodi ya makosa ya jinai.
Majina ya Waliochaguliwa JWTZ 2025
Kwa sasa, orodha kamili ya waliochaguliwa kujiunga na JWTZ kwa mwaka 2025 bado haijatangazwa rasmi kwenye tovuti ya JWTZ (www.tpdf.mil.tz), lakini kuna uwezekano mkubwa tangazo hilo litafuata baada ya uteuzi wa vijana waliomaliza JKT kuhitimishwa.
Wanafunzi waliomaliza Kidato cha Sita mwaka 2025, tayari baadhi yao wamechaguliwa kujiunga na JKT kwa mujibu wa sheria. Majina hayo yanapatikana kupitia:
Mwananchi Digital – Majina ya JKT 2025
Kwa kawaida, baada ya kuhitimu mafunzo ya JKT, wachache huchaguliwa kuendelea mbele na mafunzo ya kijeshi rasmi ya JWTZ.
Hatua za Kufuatilia Majina
- Tembelea tovuti rasmi ya JWTZ:
https://www.tpdf.mil.tz - Nenda kwenye sehemu ya “News” au “Announcements.”
Mara nyingi tangazo la majina huwekwa kwenye sehemu hii. - Tazama pia kurasa za mitandao ya kijamii ya JWTZ kama Facebook au Twitter kwa taarifa mpya.
- Fuatilia magazeti ya serikali kama Daily News au Habari Leo ambayo hutangaza pia majina hayo.
Wasiliana na JWTZ kwa Maelezo Zaidi
Kwa yeyote anayetaka kufahamu kuhusu utaratibu wa kujiunga, anashauriwa kuwasiliana kupitia:
- Simu: +255 737 962 064
- Barua pepe: [email protected]
Kwa vijana wenye ndoto ya kulitumikia taifa kupitia Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania, ni muhimu kufuatilia kwa ukaribu tangazo la majina ya waliochaguliwa 2025.
Maandalizi ya awali ikiwa ni pamoja na kujiunga na JKT, kuwa na afya njema, nidhamu na elimu, huchangia kwa kiasi kikubwa nafasi ya kuchaguliwa.
Kumbuka: Tangazo rasmi litapakiwa kwenye tovuti ya www.tpdf.mil.tz, hivyo hakikisha unatembelea mara kwa mara au ujiunge na chaneli au magroup ya taarifa mtandaoni kwa ajili ya kufahamu taarifa hizi mapema.
Makala Nyingine:
- Tarehe ya kuripoti JKT 2025
- Form Six JKT Selection 2025: Waliochaguliwa JKT Kidato cha sita
- Majina ya Waliochaguliwa Kujiunga na JKT 2025/2026 Form Six JKT Selection
- Jinsi ya kuangalia Majina Waliochaguliwa Kidato cha Tano Form five Selection 2025
- Shule walizopangiwa form one 2025 Waliochaguliwa kidato cha kwanza
- Jinsi ya Kujiunga na JKT 2025/2026 (Mwongozo kamili)







Ndugu zangu jwtz hongeleni kwa kuzidi kulinda amani ya taifa kwa ujumla pia kwa afrika nzima ila naomba watu wenye hali za chipi pia nao mtujali kwani wengi tunamalengo ya kulitumikia jeshi letu ila inashindikana kutoka na nafasi zinapotolewa wengi hatuchaguliwi kama mm nimejalibu San ila nashindwa awamu hii naombeni mnisaidie kunichagua kwani Sina hela kila anaetaka kunisaidia aniomba hela tena nyingi wakati mm napenda jeshi tena San Kwan sasai imefika mpaka nakataa tamaa awamu hii naomba mungu anitangulie pia mnichague ahsanteni pia poleni namjukumu yakazi maafande wangu
In the army we are not going to seek for job is just a service my brother,usiweke pesa mbele waza kujitoa kikamilifu kwa ajili ya kuitumikia nchi yako
Upo Sawa vile vile Mimi sm op miaka 60 ya muungano dotto petro maduka napenda Sana kulitumikia jeshi la wananchi Tanzania nakulinda Amani ,mipaka ya nchi yangu ya Tanzania
Group la op miaka 6 ok tujulikane bas
In the army we are not going to seek for job is just a service my brother,usiweke pesa mbele waza kujitoa kikamilifu kwa ajili ya kuitumikia nchi yako
Exactly kamanda it is admissible
Alright 👍👍, wacha tuendelee kusubiri majina tulitumikie taifa letu kwa moyo wote🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Ivi ayajatoka ya usajili au
Majina ya waliochguliwa jwtz tunayapataje
Napenda kuwapongeza jwtz kwa kazi mnazo zifanya maana amani kwenye nchi yetu ipo juu sana ongeleni sana
Hivi kwan majina bado hayajatoka
Naitaji majina yaliyo toka kwenda coz ya jwtz
I think majina bado hawajatoa bado taarifa tutapata nadhani tuendelee tu kuwa wavumilivu…….
I’m sorry naomba unicheck inbox kwa hiii namba tafadhali
+255 761 051 606…
Tuvute subra inshaaalh tutapita woto kiujuml
I think majina bado hawajatoa taarifa tutapata nadhani tuendelee tu kuwa wavumilivu
I’m sorry naomba unicheck inbox kwa hiii namba +255 761 051 606 tafadhali
Kwani bado majina hayaja toka kwenda kwenye usaili
Kwan usahili tayali au?
Hauelew kaka kama majna yametoka ila mbna kama bado
Majina yanatoka lin jamn???
Yakitoka watatangaza lakin Bado hawajatoa sawa
Napenda nchi yangu
Napenda kulitumikia Taifa langu na kulinda mipka ya nchi yangu
Uzalendo,na kudumisha amani
Mungu atufanyie uwepesi tyu naamin one day yes
I think majina bado hawajatoa bado taarifa tutapata nadhani tuendelee tu kuwa wavumilivu…….
I’m sorry naomba unicheck inbox kwa hiii namba tafadhali
+255 761 051 606…
I think majina bado hawajatoa bado taarifa tutapata nadhani tuendelee tu kuwa wavumilivu…….
I’m sorry naomba unicheck inbox kwa hiii namba tafadhali
+255 761 051 606…
Jeshi limeshakuwa la ukoo tumehenyaa sana tunatumaa maombi Toka yupo Mzee magufuli alitupa kipaumbele rakini yanatoka majina batiri na ambavyo turikuwa tuna tegemea wanaenda kozi watu amabo hawajapita kozi yeyote inauma sana wengine jeshi lipo damunii lakini mambo tunayofanyiwa siyoo kabisa
Namba yangu 0714078355 au 0622635142
Dah! Mung asaidie yatoke maan kama 2meachw vile
Kwani majina hayajatoka bado? Au tumeachwa tena bila taarifa
Hata mm sielew
Kwani majina hayajatoka bado? Au tumeachwa tena bila taarifa kama itatokea taarifa plz tusaidie kushare
0742230220
Uhakika nasikia wamepigiwa cm jaman
Vp umeona
Vp umeona
Yakitoka watatangaza lakin Bado hawajatoa sawa
#Na wewe Ukipata Majibu Mapema Usisahau Kunishilikisha By Me Mwombaji Mwenzako bye bye!!..
Mambo
Kwakwel jeshi imeshakuwa ya watu fran siyo halo kwa kila mtanzania,watu wanahangaika hit than wanaita watu wao tu,tena ambao hawajapita hat jkt,sema hii inch wale wazee wetu waliitengenezea Aman ya kudumu,ila ipo siku watajua waliostail kuwa jeshi n hawa wananyimwa nafax
Nakumbuk OP Venas wamesota sana msomela lkn mwisho wa siku watu wanabaki mda huo kundi la watu likatoka zanzibar likaenda kupga koz msata,Dah!! hii Inch kuna watu hawatend haki kwa watu,bora waache kuita watu JKT,kutulimisha makambin than wanaleta watu wao
Majina yanaonekana sehem gani?
Naskia majina yametoka nusu jaman et kwel
tuliotuma maombi tunahangaika yani hatuelewi kinachoendelea lakini tuwe wavumilivu
https://chat.whatsapp.com/KgR9XDvDVOrDxlwT63ExJN
Napenda nchi yangu
Napenda kulitumikia Taifa langu na kulinda mipka ya nchi yangu
Uzalendo,na kudumisha amani.
Join my group Whatsapp for more updates via
https://chat.whatsapp.com/KgR9XDvDVOrDxlwT63ExJN
Oy mwamb
Habari zenu vp mbna majina ya tulio tuma maombi hayatoki tyu
Majina yanatoka lini kwenda kwenye usaili