TAMISEMI Selection Form Five 2025 to 2026 (Form Five Selection)

TAMISEMI Selection Form Five 2025 to 2026 (Form Five Selection), Ofisi ya Rais – TAMISEMI imetoa rasmi orodha ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano kwa mwaka wa masomo wa 2025/2026. Uchaguzi huu umefanyika kwa kuzingatia matokeo ya mtihani wa taifa wa kidato cha nne (CSEE) na vigezo vingine muhimu kama vile nafasi za shule, chaguo la mwanafunzi, na ufaulu wake.

Majina Ya Waliochaguliwa Kujiunga Na Kidato cha Tano 2025/2026 Form five Selection 2024/2025 kwenda kwenye mwaka wa masomo wa 2025/2026. Selection form five 2025 Tamisemi selection form five 2025.

Pia unawza kupata kwenye mfumo wa PDF results 2025. FORM FIVE SELECTION 2025, SHULE WALIZOPANGIWA KIDATO CHA TANO 2025/26

 Jinsi ya Kuangalia Majina ya Waliochaguliwa

Ili kuona kama umechaguliwa, fuata hatua zifuatazo:

Hatua Maelezo
1 Tembelea tovuti ya TAMISEMI: selform.tamisemi.go.tz
2 Bofya kiungo cha “Form Five Selection 2025”
3 Chagua mkoa uliosoma kidato cha nne
4 Tafuta jina lako kwenye orodha
5 Pakua au chapisha PDF ya majina hayo kwa kumbukumbu

💡 Kumbuka: Tovuti inaweza kuwa na msongamano wa watumiaji. Vumilia ikiwa inachelewa kufunguka.

Pakua PDF ya Majina ya Waliochaguliwa

Unaweza pia kupata matokeo haya kwenye mfumo wa PDF. Hii inakuwezesha kuyapakua kwa urahisi na kuyahifadhi kwa matumizi ya baadaye.

 Ratiba Muhimu ya Mwaka 2025/2026

Tukio Tarehe Inayotarajiwa
Matokeo ya CSEE Januari 2025
Uteuzi Awamu ya Kwanza Mei 2025
Uteuzi Awamu ya Pili Kabla ya Agosti 2025
Kuripoti Shuleni Juni/Septemba 2025

Majina ya Mikoa Kupitia Ambayo Unaweza Kuangalia

Kanda ya Kaskazini Kanda ya Kati Kanda ya Kusini
Arusha Dodoma Lindi
Kilimanjaro Singida Mtwara
Manyara Tabora Ruvuma
Tanga Simiyu Njombe

 

Kanda ya Magharibi Kanda ya Mashariki Ziwa
Kigoma Pwani Mwanza
Katavi Dar es Salaam Geita
Rukwa Morogoro Shinyanga
Kagera Mara

 Nyaraka Muhimu Unazotakiwa Kuwa Nazo Unaporipoti

  1. Cheti halisi cha matokeo ya Kidato cha Nne (CSEE)

  2. Cheti cha kuzaliwa

  3. Ripoti ya afya kutoka hospitali ya serikali

  4. Picha nne za pasipoti (karibuni)

⚠️ Angalizo: Hakikisha unawasiliana na shule husika kwa mahitaji ya kipekee kabla ya tarehe ya kuripoti.

 TAMISEMI ni Nani?

TAMISEMI ni kifupi cha Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, inayofanya kazi chini ya Ofisi ya Rais. Miongoni mwa majukumu yake ni kuratibu upangaji wa wanafunzi wanaoendelea na elimu ya juu, ikiwa ni pamoja na uteuzi wa Kidato cha Tano na vyuo vya kati.

 Je, Nifanye Nini Kama Sijachaguliwa Awamu ya Kwanza?

Usijali!
TAMISEMI hutoa awamu ya pili ya uteuzi, ambayo hutolewa baada ya wanafunzi wa awamu ya kwanza kuripoti. Endelea kufuatilia matangazo rasmi na hakikisha taarifa zako ziko sahihi kwenye mfumo wa Selform.

 Makala Zinazohusiana

  • Kubadilisha Combination kupitia Selform 2025

  • Orodha ya Shule za Advance na Combinations zake 2025

  •  NECTA CSEE 2024/2025: Matokeo Rasmi

  •  Ratiba ya Mtihani wa Darasa la Saba 2025

  • Waliochaguliwa Kidato cha Kwanza 2025

Kiungo cha Haraka:

BOFYA HAPA KUANGALIA SELECTION YA FORM FIVE 2025