RATIBA YA USAILI – TUME YA UTUMISHI ZANZIBAR APRIL 2025

RATIBA YA USAILI – TUME YA UTUMISHI ZANZIBAR APRIL 2025, Ratiba ya usaili kwa nafasi mbalimbali za kazi ni kama ifuatavyo:

TAREHE 12 APRIL, 2025

Taasisi: Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali
Aina ya Usaili: Maandishi
Muda na Mahali: Saa 2:00 Asubuhi, Skuli ya Sekondari Fidel Castro
Nafasi za Kazi:

  • Mwalimu wa Michezo Daraja la III
  • Mwalimu wa Physics Daraja la II
  • Mwalimu wa Physics Daraja la III
  • Mwalimu wa Elimu ya Biashara Daraja la II
  • Mwalimu wa Mathematics Daraja la III
  • Mwalimu wa Mathematics Daraja la II
  • Mwalimu wa TEHAMA Daraja la III
  • Mwalimu Grade B Maandalizi Daraja la III
  • Mkutubi Msaidizi Daraja la III
  • Mwalimu wa Engineering Sciences Daraja la II
  • Lab Technician Daraja la III

TAREHE 13 APRIL, 2025

Taasisi: Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali
Aina ya Usaili: Ana kwa Ana
Muda na Mahali: Saa 2:00 Asubuhi, Skuli ya Sekondari Fidel Castro
Nafasi za Kazi:

  • Mwalimu wa Michezo Daraja la III
  • Mwalimu wa Physics Daraja la II
  • Mwalimu wa Physics Daraja la III
  • Mwalimu wa Elimu ya Biashara Daraja la II
  • Mwalimu wa Mathematics Daraja la III
  • Mwalimu wa Mathematics Daraja la II
  • Mwalimu wa TEHAMA Daraja la III
  • Mwalimu Grade B Maandalizi Daraja la III
  • Mkutubi Msaidizi Daraja la III
  • Mwalimu wa Engineering Sciences Daraja la II
  • Lab Technician Daraja la III

TAREHE 14 APRIL, 2025

Taasisi: Tume ya Utumishi Serikalini
Aina ya Usaili: Maandishi
Muda na Mahali: Saa 2:00 Asubuhi, Skuli ya Sekondari Fidel Castro
Nafasi za Kazi:

  • Katibu Muhtasi Daraja la III
  • Afisa Sheria Daraja la II (Kamisheni ya Ardhi)
  • Afisa Uhusiano Daraja la II (Ofisi ya Rais Ikulu)
  • Afisa Ununuzi Msaidizi Daraja la III
  • Mpishi Daraja la III
  • Afisa TEHAMA (Networking) Daraja la II
  • Afisa Ushirikiano wa Kimataifa Daraja la II

TAREHE 15 APRIL, 2025

Taasisi: Tume ya Utumishi Serikalini
Aina ya Usaili: Ana kwa Ana
Muda na Mahali: Saa 2:00 Asubuhi, Skuli ya Sekondari Fidel Castro
Nafasi za Kazi:

  • Katibu Muhtasi Daraja la III
  • Afisa Sheria Daraja la II (Kamisheni ya Ardhi)
  • Afisa Uhusiano Daraja la II (Ofisi ya Rais Ikulu)
  • Afisa Ununuzi Msaidizi Daraja la III
  • Mpishi Daraja la III
  • Afisa TEHAMA (Networking) Daraja la II
  • Afisa Ushirikiano wa Kimataifa Daraja la II

Wahitimu wote walioitwa kwenye usaili wanatakiwa kufika kwa muda uliopangwa wakiwa na nyaraka muhimu zinazohitajika.

Soma Zaidi: Walioitwa Kwenye Usaili Tume ya Utumishi Zanzibar 2025