Matokeo, Kikosi cha Yanga vs Coastal union Leo CRDB federation cup

Matokeo, Kikosi cha Yanga vs Coastal union Leo CRDB federation cup, Leo Live utashuhudia mechi kati ya yanga dhidi ya Wagosi wa kaya Coastal Union kwenye CRDB Federation CUP.

Yanga vs Coastal union Leo

CRDB Bank Federation Cup Leo saa 10:00 jioni, Yanga SC watakuwa dimba la KMC Complex wakiwakaribisha Coastal Union, mechi ya hatua ya 32 bora CRDB Bank Federation Cup (CBFC).

Mchezo huu utaruka mbashara kupitia AzamSports1HD. Je, ni Yanga SC ama Coastal Union nani kutinga hatua ya 16 bora?.

#YangaSC #CoastalUnion

🔰𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇𝐃𝐀𝐘🔰

🏆 #crdbbankfederationcup
⚽️ Young Africans SC🆚Coastal Union
📆 12.03.2025
🏟 KMC Complex
🕖 10:00 Jioni

#timuyawananchi

#daimambelenyumamwiko

Kikosi Cha Yanga Leo Dhidi ya Coastal UNION

Kikosi kazi cha leo #crdbbankfederationcup 🔰💪🏽

Matokeo Yanga Vs Coastal Union

25’ | Yanga SC 3-1 Coastal Union LIVE

Mapendekezo:

  1. Timu zilizofuzu 32 bora CRDB Bank Federation Cup 2024/2025
  2. Mechi ya Simba Vs Yanga SC Yaahirishwa (DERBY Ya Kariakoo)
  3. Mechi ya Simba na Yanga Ni Lini 2025
  4. CV ya  Miloud Hamdi Kocha Mpya Wa Yanga 2025/2026
  5. Ratiba ya ligi kuu NBC Tanzania 2024/25 FIXTURES Bara
  6. Msimamo wa Ligi Kuu NBC 2024/2025 NBC Standing Table