Matokeo, Kikosi cha Simba Vs TMA Stars Leo 11 March, 2025 Live score na Stream, Mechi Ya Simba leo ni saa ngapi na taarifa zote za muhimu kuelekea mchezo huu bmuhimu wa CRDB Bank FederationCup. Simba dhidi ya TMA Stars.
Simba Vs TMA Stars Leo
Mchezo wetu unaofata katika kombe la @cbfc_tanzania ni dhidi ya Simba SC (Wakuzilazila) katika uwanja wa Kmc Complex .
TMA Stars Kauli Nb: Msipokuja tutawafuata huko huko kwenye viwanja vyenu vya mazoezi . Hamuwezi kukwepa kipigo safari hii 😂
Na uwanja wa Kmc tumewaachia mfanye mazoezi msije mkatuzilia mechi na sisi.
Tunarudi kazini. #CRDBBankFederationCup # WenyeNchi #NguvuMoja
uko makini kwenye mchezo huo”
Kocha wa Simba, Fadlu Davids amesema wamejiandaa kwa umakini zaidi kuelekea mchezo wao wa kesho dhidi ya TMA Stars, wakitambua kuwa wanakutana na timu nzuri…. Huku akiweka wazi taarifa ya kuwakosa wachezaji wake Moussa Camara, Che Malone Fondoh na Mzamiru Yassin.
Mechi ni saa 10:00 jioni LIVE
“…ukiangalia kwa jicho la kawaida, utaona ni mechi nyepesi…lakini…”
Meneja Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally anaema hawaichukulii poa TMA Stars, na wamejiandaa kwa ukubwa uleule kuwakabili kwenye mchezo wa raundi ya nne ya Kombe la Shirikisho la CRDB Bank.
Naye Kocha Mkuu wa TMA Stars, Mohamed Ismail anasema wamejipanga kukabiliana na ubora wa Simba na hawatawaangusha mashabiki wao…
Viingilio Vya Leo Simba VS TMA Stars
Viingilio Vya Mechi Ya Leo
🎫 Viingilio vya mchezo wa Kombe la Shirikisho la CRDB dhidi ya TMA Stars
Vituo Vya Kununua Ticketi Simba VS TMA stars
Tiketi za mchezo wa Kombe la Shirikisho la CRDB dhidi ya TMA Stars zinapatikana vituoni. #WenyeNchi
Makala Nyingine:
Leave a Reply