Matokeo ya Yanga vs Pamba jiji leo Februari 28, 2025 Live stream results Today (live score) Mechi ya pamba jiji dhidi ya Yanga Leo Kwenye Mchezo wa Ligi kuu Tanzania Bara msimu wa 2024/25.
Yanga vs Pamba jiji leo Februari 28, 2025
Saa 10:15 jioni, Pamba Jiji watakuwa dimba la nyumbani CCM Kirumba wakiwaalika Wananchi Yanga SC.
Je, Wananchi watachukua alama tatu na kuzidi kujikita kileleni mwa msimamo ama watakwaa kisiki kwa TP Lindanda?
Michezo hii unaruka mbashara kupitia AzamSports1HD.
yanga vs pamba jiji live score
🔰𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇𝐃𝐀𝐘🔰
🏆 #nbcpremierleague
⚽️ Pamba Jiji🆚Young Africans SC
📆 28.02.2025
🏟 CCM Kirumba
🕖 10:15 Jioni
Matokeo ya Yanga vs Pamba jiji leo
𝐅𝐔𝐋𝐋 𝐓𝐈𝐌𝐄⏱️| #NBCPremierLeague
Pamba Jiji 0-3 Young Africans SC
83’| #NBCPremierLeague
Pamba Jiji 0-3 Young Africans SC
2H: Pamba Jiji 0-3 Yanga SC
CHUMA ya 3 kutoka kwa MASTER KIIIII
HT: Pamba Jiji 0-1 Yanga SC
LIVE #AzamSports1HD
Kikosi kinachoanza dhidi ya Pamba Jiji🔰💪🏽
Makala nyingine:
- Mechi ya Simba na Yanga Ni Lini 2025
- Msimamo Ligi Kuu NBC 2024/2025 Tanzania Bara
- Ratiba ya Mechi za Yanga Ligi Kuu NBC 2024/2025
- Matokeo, Kikosi Cha Yanga Vs Singida (BS) Black Stars Leo 17 Feb, 2025 Saa Ngapi
- Ratiba ya Mechi za Yanga Ligi Kuu NBC 2024/2025
- CV ya Miloud Hamdi Kocha Mpya Wa Yanga 2025/2026
- Msimamo wa kundi A la Yanga CAF 2024/2025 Club Bingwa
Leave a Reply