Fomu ya Uchunguzi wa Afya kwa Waajiriwa Wapya Ajira Zimamoto, PDF download MEDICAL EXAMINATION FORM FOR RECRUITS (To be completed by Certified Medical Officer).
Kuwa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji linaloongoza kwa weledi na utoaji huduma bora Afrika Mashariki ifikapo 2025.
Dhamira Yetu
Tunajitahidi kuhifadhi maisha na mali, kukuza usalama wa umma na kuitikia wito wote wa usaidizi wa dharura ndani ya jumuiya kwa kufanya kazi kwa ufanisi na kwa mujibu wa miongozo ya sera za kitaifa na viwango vya kimataifa.
Madhumuni ya Kuzuia na kupunguza viwango vya vifo, majeraha kwa watu, na uharibifu wa mali unaotokana na moto, mafuriko, tetemeko la ardhi, ajali za barabarani na majanga mengine.
Wasiliana Nasi
Email:Â fire.rescue@zimamoto.go.tz
Simu:Â +255-26-2320043
Address: 1 Zimamoto Street , P.O.BOX 1509, 41102 VIWANDANI – DODOMA
PDF Fomu ya Uchunguzi wa Afya
MEDICAL EXAMINATION FORM FOR RECRUITS
Makala Nyingine:
Nafasi za Kazi Zimamoto 2025 ajira Jinsi Ya Kutuma Maombi
Mfumo wa maombi ya ajira zimamoto (ajira.zimamoto.go.tz)
Nafasi za Kazi Jeshi la Zimamoto 2025/2026 Tangazo la ajira zimamoto 2025 pdf
Leave a Reply