Matokeo Yanga VS Al Hilal Leo 12 Januari 2025

Mchanganuo wa Matokeo, Kikosi Cha Yanga VS Al Hilal Leo 12 Januari 2025 Saa Ngapi? Patakuwa hapatoshi Viwanjani Leo Jumapili Al Hilal VS Yanga SC  Live watakapo kamatana uwanjani mechi ya kuamua nani anazidi kuwa mbabe wa CAF Champions League kwenye Msimamo Wa Kundi La Yanga Clubu bingwa Africa.

Yanga VS Al Hilal Leo 12 Januari 2025

🗓️Jumapilu 05/01/2025
🕑 4:00 Usiku Saa za Afrika Mashariki
🏟️

🏆 CAF Champions League 2025

Yanga VS Al Hilal

Yanga 1

Yanga wameshinda kwa goli Moja

LEO Wananchi wapo uwanja wa ugenini Stade de la Capitale, nchini Mauritania wakisaka alama tatu muhimu dhidi ya Al Hilal SC.

Mechi itachezwa kuanzia saa 4:00 usiku na kuruka mbashara kupitia AzamSports1HD.

🏆 #totalenergiescafcl
⚽️ Al Hilal🆚Young Africans SC
📆 12.01.2025
🏟 Cheikha Ould Boidiya
🕖 7PM🇲🇷10PM(TZ)🇹🇿

Kikosi Cha Yanga VS Al Hilal Leo 12 Januari 2025

Makala Nyingine:

Msimamo wa kundi A la Yanga CAF 2024/2025 Club Bingwa

Tetesi za usajili Dirisha dogo Tanzania bara 2024/2025 (Simba Na Yanga)

Mishahara ya Wachezaji wa Yanga SC 2024/2025 Makadirio

Ratiba ya Yanga Klabu Bingwa 2024/2025 CAF champions league