Matokeo, Kikosi Cha Simba VS Bravos do Maquis Leo 12 Januari 2025 Saa Ngapi? Patakuwa hapatoshi Viwanjani Leo Jumapili Bravos do Maquis VS Simba SC watakapo kamatana uwanjani mechi ya kuamua nani anazidi kuwa mbabe wa CAF Confederation Cup kwenye Msimamo Wa Kundi A Shirikisho.
Simba SC VS Bravos do Maquis Leo 12 Januari 2025
🗓️Jumapilu 12/01/2025
🕑 1:00 Jioni
🏟️ Angola
🏆 CAF Confederation Cup 2025
LEO mnyama yupo dimba la ugenini nchini Angola akikipiga na Bravos.
Mnyama akishinda mechi hii anakwenda robo fainali Kombe la Shirikisho Afrika akiwa na mechi moja mkononi.
Mtanange huu utapigwa kuanzia saa 1:00 usiku na kuruka mbashara AzamSports1HD.
Kikosi Cha Simba VS Bravos do Maquis Leo
Kikosi cha leo dhidi ya Bravos. #TotalEnergiesCAFCC #WenyeNchi #NguvuMoja
Makala Nyingine:
Msimamo Wa Kundi A La Simba Shirikisho 2024/2025 CAF
Tetesi za usajili Dirisha dogo Tanzania bara 2024/2025 (Simba Na Yanga)
Ratiba ya Mechi za Simba Ligi Kuu Ya NBC 2024/25 Tanzania Bara
Leave a Reply